Maana ya jina Hezekia

Hezekia ni jina la Kiebrania lenye maana ya ‘Mungu huimarisha’; au ‘Yahweh huimarisha’. Hezekia alikuwa mfalme mwema wa Yuda.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *