Maana na Asili ya Jina Majina ya watoto wa kike yanayoanza na herufi D » DalilaDalilaMaana: Dalila inamaanisha; maridadi, au, mwongozo, au, dhaifu, au, anayedhoofika. Linaweza kumaanisha uzuri lakini pia udhaifu.Asili: Kiebrania« Rudi kwenye orodha ya majina