Maana ya jina Yeremia

Yeremia ni jina la Kiebrania lenye maana ya ‘Yahweh atatukuzwa’. Ni jina la nabii mkuu katika Agano la Kale.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *